Kampeni ya kuhamasisha na kuelimisha kuhusu afya bora kutoka Wizara ya Afya Tanzania - Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma.
Ni jukwaa kupitia WhatsApp linalotoa taarifa sahihi na zilizothibitishwa za afya ya mama na mtoto, lishe, malezi na makuzi, na afya ya uzazi.